(Value Education Class-VEC) Program za Maadili ndani na nje ya Tanzania Katika programu ya scripture union Tanzania,VOICE Africa Darasa la Elimu ya Maadili (DLM).Tunafurahi kwamba Watu wameipokea programu hii na wanaendelea kupokea Maarifa zaidi ili kufikia watoto,vijana na familia.Darasa hili…